Thursday, March 29, 2012

Manager TTCL mtwara akishiriki kikamilifu zoezi la kijamii la kujitolea kufanya usafi katika hospitali kuu ya mkoa ligula lililo andaliwa na Info radio mtwara
wadau wakijadiliana namna ya kuboresha usafi
Watangazaji wa vituo vya radio info radio na pride katika picha ya pamoja
kikwato Junior akishiriki kikamilifu zoezi la usafi ligula

washiriki na wadau wetu kutoka tanzania posta bank wakiwa katika picha ya pamoja
watangaji toka info radio kutoka kushoto ni bahati mchata, afra liyenge na hakika abdul
watangazaji info radio wakiwa na wanasalamu katika picha ya pamoja