Wednesday, April 11, 2012


WAFANYAKAZI WA INFO RADIO 92.1 MTWARA TANZANIA KATIKA MATUKIO MBALIMBALIMNARA WA SATELITE WA INFO RADIO
BIBI AFRA LIYENGE MAMAA WA MIPASHO INFO RADIO
ROBI JAMES MAKERTING OFFICER INFO RADIO
MFAUME PASTORY NA ROBIJAME WAKIPERUZI MTANDAO
KUTOKA KULIA NI SHEILA, ALBERT LAIZER,FLORANCE SANAWA, IDRISA BANDARI NA ROBI JAMES
NIWATANGAZAJI WA KIPINDI CHA TAARAB MIDUNDO YA PWANI MAMA AFRA LIYENGE NA SHEILA
WATANGAZAJI WAKIPINDI CHA ASUBUHI BOMBA INFO RADIO ALIYESIMAMA NI IDRISA BANDARI NA ALBERT LAIZER
WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA MUZIKI WA KIAFRIKA (BOLINGO) AFRTINGISHA PRSIDAA MFAUME PASTORY NA FIRST LADY ASHURA AUSI
AFARAH NA IDRISA BANDARI WATANGAZAJI INFO RADIO
ANAITWA SHAIBU NDEJA aka SPEA ONE MKALI WA ENTERTAINMENT MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA VIBES
JAMAA WAKIFANYA MAUTUNDU PRODUCTION ROOM YA INFO RADIO

 HII ILIKUWA N I ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO NCHINI KATIKA MANISPAA YA MKOA WA MTWARA AKIKAGUA MKONGO WA MAWASILIANO BAINA YA TANZANIA NA MSUMBIJI HAMISI MVULA ALIKUWA KATIKA MSAFARA HUO

Friday, April 6, 2012

Afarah  suleiman the iron lady mama ya UKURASA MPYA
Shaibu Ndeja 'Spear one' Mr. vibes mwenyewe...
Kutoka kulia mamaa wa kuwatibu wasimamia ulimi 'Afra Lyenge' akiwa na mwanamke wa kazi 'Aloycea Ngunyali na Spear one ndani ya studio za info radio..  
President wa Afro tingisha Mfaume pastory
wapii mamaa wa kuwatibu visokorokwinyo na mwanamke wa kazi mwenyewee

Thursday, March 29, 2012

Manager TTCL mtwara akishiriki kikamilifu zoezi la kijamii la kujitolea kufanya usafi katika hospitali kuu ya mkoa ligula lililo andaliwa na Info radio mtwara
wadau wakijadiliana namna ya kuboresha usafi
Watangazaji wa vituo vya radio info radio na pride katika picha ya pamoja
kikwato Junior akishiriki kikamilifu zoezi la usafi ligula

washiriki na wadau wetu kutoka tanzania posta bank wakiwa katika picha ya pamoja
watangaji toka info radio kutoka kushoto ni bahati mchata, afra liyenge na hakika abdul
watangazaji info radio wakiwa na wanasalamu katika picha ya pamoja